Msanii wa bongo flavor timbulo anacopy nyimbo za x-maleya wasanii wa camroon

Msanii wa bongo flavor timbulo anacopy nyimbo za x-maleya wasanii wa camroon

Hao anaowasema wamewahi kucopy wamefanya hvyo baada ya kuwa tayari na nyimbo zilizowatambulisha walizotunga wenyewe(walisha-prove kwa fans kwamba wanaweza kusimama wenyewe),sasa huyu bwana ngoma zote mbili zilizofanya tumjue amecopy ndo nini sasa?Oky ngoja tumpe muda tutaona kama ni kipaji kweli au mzee wa photocopy
 
Dah ila dogo noma, Kama hiyo ya Domo langu zito ndo aibu ka copy vile vile
 
ebu tujuze mkuu... kny kujitetea ameelezea nini sasa.. maana kama ni wizi huu ni ready handed... huyu dogo anakaa sinza palestina karibu na muuza chips maarufu sana sinza anaitwa Devi.. toka alipoanza kupatapata kajina amekuwa wa minato sana.. kumbe track zenyewe ndo hizi.. na huyo lil gheto hajambo anapoletewa beat ya kucopy.. yuko vizuri haswa
 
Back
Top Bottom