Sasa mbona kavaa miwani ya jua wodini ambako hata pazia zimefungwa. Huo ni ubitozi, ujuha au hataki macho yake yaonekane na mgonjwa?Hongera sana kwa tendo la kijasiri,hakika umeonyesha ubinadamu wako na hiyo ndio maana halisi ya kuwa wasanii ni Kioo cha jamii.Asante sana
wewe inakuhusu nini? umbeya tuSasa mbona kavaa miwani ya jua wodini ambako hata pazia zimefungwa. Huo ni ubitozi, ujuha au hataki macho yake yaonekane na mgonjwa?
Unataka ujue ili iweje?Sasa mbona kavaa miwani ya jua wodini ambako hata pazia zimefungwa. Huo ni ubitozi, ujuha au hataki macho yake yaonekane na mgonjwa?
Aache kugombania penzi la zari na mobeto aende? Na je mlezi atamchukuliajeDomond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...
hahaaaawewe inakuhusu nini? umbeya tu
thubutuuDomond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...
Kama huna jibu kaa kimya, ok?Unataka ujue ili iweje?
hahaaa kwanza ataambiwa kuwa sio mtanzania siwajua anatokea kigoma .. nakule wamejaa warund kibaoAkirudi tu, atafuatwana TRA kuulizwa ameuza album ngapi na kama analipa kodi
Domond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...