Msanii wa Bongo fleva Baraka da Prince aenda kumjulia hali Lissu

Msanii wa Bongo fleva Baraka da Prince aenda kumjulia hali Lissu

gwankos

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
323
Reaction score
420
Hongera sana kwa tendo la kijasiri,hakika umeonyesha ubinadamu wako na hiyo ndio maana halisi ya kuwa wasanii ni Kioo cha jamii.Asante sana

27ecae54296fece7f5ac40b3da731e66.jpg
 
Amefanya jambo jema ...kijana Hongeraaa
 
Domond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...

Embu watanzania Wema kama nyie mnaenda Hospital kuwaona wagonjwa acheni kila kitu kuikifanya habari. Kweli mmeishiwa. Ndo hapa naanza kuamini motive ya muuaji inafanikiwa.
 
Back
Top Bottom