Msanii wa Bongo fleva Baraka da Prince aenda kumjulia hali Lissu

Hivi utaratibu upoje?
Mana Nilikuwa Nairobi juzi, kila wazo la kwenda kumuona linanijia sema naogopa wasijedhania mimi ndie nisiyejulikana.

Wana chadema eti utaratibu upoje na hospitali ni ipi?

Wiki ijayo nitakuwa huko
Aghakhan hospital ipo maenneo
ya parklands 3rd limuru road

Utaratibu ndo cjui ukoje wa kwenda
Kumuona
 
Embu watanzania Wema kama nyie mnaenda Hospital kuwaona wagonjwa acheni kila kitu kuikifanya habari. Kweli mmeishiwa. Ndo hapa naanza kuamini motive ya muuaji inafanikiwa.
Wewe unapaswa kudharauliwa tu!
Poor you...
 
Sasa mbona kavaa miwani ya jua wodini ambako hata pazia zimefungwa. Huo ni ubitozi, ujuha au hataki macho yake yaonekane na mgonjwa?
Usikariri Mkuu, kazi ya hiyo miwani pia ni kuficha aibu na connection ya macho
 
Hivi utaratibu upoje?
Mana Nilikuwa Nairobi juzi, kila wazo la kwenda kumuona linanijia sema naogopa wasijedhania mimi ndie nisiyejulikana.

Wana chadema eti utaratibu upoje na hospitali ni ipi?

Wiki ijayo nitakuwa huko
Nadhani ukifika hospital uongozi upo na watakupa utaratibu
 
Domond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...
Mpk awe na hiyo akili pia suala la kumuona linatoka moyoni kutokana na ulivyo guswa
 
Kuweni makini na hao wanaoenda kumuona Tundu Lisu, acheni kuamini kila MTU.

we nenda tu ukamuone huko kuna makamanda kama wew ni mchaga ao mnyaturu utaruhusiwa kuingia kama wew ni msukuma basi imekula kwako utapewa kesi eti unaenda kumumalizia
 
siku hizi uzalendo unapimwa kwa kupiga picha na lisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…