Msanii wa Bongo fleva Baraka da Prince aenda kumjulia hali Lissu

we nenda tu ukamuone huko kuna makamanda kama wew ni mchaga ao mnyaturu utaruhusiwa kuingia kama wew ni msukuma basi imekula kwako utapewa kesi eti unaenda kumumalizia
Kuandika tu shida hivi while zinafunguliwa lini aseee?
 
Huyu Baraka Prince naskia siyo Mtanzania.....
 
Chibu na timu yake kaenda kimyakimya alpotoka naivasha
 
Miziki yake soon itapigwa ban redion

Ova
 
vizuri kafanya jambo jema sana kujali ndugu yetu huyu katika kipindi hiki kigumu alichonacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…