Nani kakwambia diomond anashida ya thawabu?Domond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakwambia diomond anashida ya thawabu?Domond si yupo kny...aende na yeye basi atakuwa amefanya jambo jema sana na itamuongezea thawabu...
Hawajaenda lakini wanamuombea memaNtafurahi sana Paul Makonda Na Rais wetu mpenzi John Magufuli wakienda kumsalimia Tundu Lissu
Labda kama haamini uwepo wa Mungu...Nani kakwambia diomond anashida ya thawabu?
Alienda mama ake wema tu wema yy alikua anamalizia taratibu za kurudi nyumbn kwake alikokuzoeaNi kweli wasanii ni kioo lkn umesahau Wema alienda na mama ake Leo matusi kibao.
Kuandika tu shida hivi while zinafunguliwa lini aseee?we nenda tu ukamuone huko kuna makamanda kama wew ni mchaga ao mnyaturu utaruhusiwa kuingia kama wew ni msukuma basi imekula kwako utapewa kesi eti unaenda kumumalizia
Hata me nimejiuliza..... Ila ndo nkasema ndo wasanii wetu wabongo walivyo.. Tu wachukuliwe hivyo hivyoSasa mbona kavaa miwani ya jua wodini ambako hata pazia zimefungwa. Huo ni ubitozi, ujuha au hataki macho yake yaonekane na mgonjwa?