Msanii wa Bongo Fleva, 'Hafsa Kazinja' kamgeukia Mungu na kuamua kumpokea Yesu Kristo (kuokoka)

Msanii wa Bongo Fleva, 'Hafsa Kazinja' kamgeukia Mungu na kuamua kumpokea Yesu Kristo (kuokoka)

Ishmael

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
15,039
Reaction score
6,017
attachment.php

Hafsa Kazinja akipozi.

MWANAMUZIKI aliyeamua kumgeukia Mungu na kuokoka, Hafsa Kazinja amefunguka kuwa alikuwa akiteswa na mauzauza ya kishirikina pindi alipokuwa katika majukwaa akiimba Bongo Fleva.

Akipiga stori na paparazi wetu, Hafsa alisema alikumbana na mambo mengi sana ya ajabu ikiwemo kuona majoka makubwa jukwaani akiwa anatumbuiza na sauti za ajabu za mara kwa mara.
http://api.ning.com/files/1asLTm0wi...gVvK4Mz6n0J*-SPILrnMc*9ZDc6FQRmF/hafsa001.jpg

"Nilikuwa naishi maisha ya ajabu sana jamani yaani, nikiwa jukwaani naimba basi naanza kusikia sauti za ajabu mara naona majoka makubwa yanapita pita mbele yangu na kunifanya niishiwe pozi katika utumbuizaji wangu, hayo yote najua zilikuwa chuki za binadamu, nashukuru tangu niokoke hivi sasa sina matatizo hayo kabisa," alisema Hafsa.

Chanzo: GPL
 
MMMMhhhhh!!! Imani ya mtu tu, Lakini kumtumikia Mungu ni zaidi ya kila kitu, Abarikiwe sana
 
Hivi hayo mambo yapo kweli..?? Wanasaikolojia mkowapi..??
 
Kasoma alama za nyakati kaamu kujaribu na huku
 
Daaah huli dude lina miuno na misarakasi ya hatariiii...eeeh asanteni wistaz chalet kwa ukaeimu wenu 25 dec 2012..tunawakumbuka mjue
 
Anyway hii imeandikwa leo lakini huyu dada kaokoka muda sasa.....ndio maana muda mrefu hasikiki......amekuwa mtu wa kanisani muda mwingi maeneo ya segerea kwenye kanisa la mtumishi Joseph liitwalo ZOE......
 
Telefunken

Kama alkuwa anavuta bangi should expect that! Maana hawa hawaishiwi bangi and the like
 
Last edited by a moderator:
mbona aliokoka mwaka sasa umepita,mudaa mrefu sasa lakin bado anaimba kama kawa
 
Mwaweza kunikumbusha aliimba wimbo gani??????????
 
Huyu mama ni Jaji wa shindano la klabu laha Leo show, juzi hapa nimemuona akicheza kwenye like shindano, yeye na majaji wenzake.
 
Back
Top Bottom