Msanii wa bongo fleva, Hamorapa achoma moto gari lake.

Msanii wa bongo fleva, Hamorapa achoma moto gari lake.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Katika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.


 
You thii you thii bikodhi dhat car 😄 😄
 
Kuna watu wanasema hamorapa anaongea kiingereza kizuri kuliko diamond na Ali kiba 🤣😁😆

Ila wabongo.....
 
Back
Top Bottom