Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Mbona ni kama amezoka vileKatika hali ya kushangaza msanii wa kufokafoka Hamorapa ameonyesha video wakati akichoma gari lake.
View attachment 3228020
Hadi nilisahauπ₯΄Kwani bado ni msanii ?
Inasikitisha bro.Kila mwenye smartphone kawa mwandsh
Hahaha π€£ πAngalia basi na vitu vya kupost
Fani hii imevamiwa na wapuuzi na wenye njaa kuu wanataka mkono uende mdomoni Kwa kufosi.Moja ya fani iliyopoteza maana ni hiyo ya journalism
Liseni liseniYou thii you thii bikodhi dhat car π π
Zis zisLiseni liseni
Lisen bikodhi dhis car put oil and faaa fiiiireLiseni liseni
Vijana mabishoo wanadai kuwa jamaa ananyoosha kiingereza ile mbaya.Lisen bikodhi dhis car put oil and faaa fiiiire