Msanii wa bongo fleva Keisha ajifungua

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,277
Reaction score
8,860


Hii ni kwa mujibu wa Cloud Fm msanii huyu amejifungua mtoto wa pili wa kiume, hongera Keisha umekuwa mama wawili sasa na mfano bora sana kwa wasanii wenzio
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1399470807.361710.jpg
    46.7 KB · Views: 1,932
Aliolewa bwanaake nani .?
cc warumi
 
Last edited by a moderator:
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke
 
Hongera sana....dah uchungu unauma jamaani
 
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke

Kwani sio binadamu, hana hisia?
We ungezaliwa hivyo ungekaa bila mtu?
Ukizaa mtoto wa hivyo utataka azeeke bila mtu?
 
Kwani sio binadamu, hana hisia?
We ungezaliwa hivyo ungekaa bila mtu?
Ukizaa mtoto wa hivyo utataka azeeke bila mtu?

Mbona unatokwa sana na mapovu?unataka kukunwa au
 
Sijamdharau..nimeshangaa star kama huyu watu wamembandika mimba
Ni kipi kinachokushangaza Keisha ni mke wa mtu na huyo ni mwanae wa pili. Albino ni binadamu kama engine tu ispokua tatizo la ngozi.
 
Tena ni mke wa mtu halali kbs ana ndoa yake na aliolewa kwa heshima zote na mwanaume wa maana si bora mwanaume. We baki kukashifu tu au mwenzetu umeshamaliza kuzaa.
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke
 
Mmhhhh hiv kwanini albino hua wanafananaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…