Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke
Kwani sio mwanamke?? Acheni kudharau jamani
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke
Kwani sio binadamu, hana hisia?
We ungezaliwa hivyo ungekaa bila mtu?
Ukizaa mtoto wa hivyo utataka azeeke bila mtu?
Mbona unatokwa sana na mapovu?unataka kukunwa au
Ila watu magaidi jamani khaaaaa...yaaani huyu watu wanachanua na kachavusha peke
Ni kipi kinachokushangaza Keisha ni mke wa mtu na huyo ni mwanae wa pili. Albino ni binadamu kama engine tu ispokua tatizo la ngozi.Sijamdharau..nimeshangaa star kama huyu watu wamembandika mimba