Msanii wa bongo fleva Keisha ajifungua

Msanii wa bongo fleva Keisha ajifungua

Hongera ila aangalie mme asijemgeuza dilii maana wanaume wa siku hiziii
 
Hongera yake, ila amenishangaza kuwepo kwake ktk sherehe za muungano wakati alijua wazi kua yupo karibu kujifungua, hii sio hatari jamani?
 
Back
Top Bottom