Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ajali hiyo amepata maeneo ya minjingu akielekea babati. Alipata ajali baada ya kukwepa punda.
Amelazwa hospital sasa
Hiyo "napata" kwenye heading irekebishe na isomeke "apata" bila kuathiri maudhui yaliyokusudiwa.