Msanii wa bongo fleva shetta napata ajali akiwa safarini

Msanii wa bongo fleva shetta napata ajali akiwa safarini

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Ajali hiyo amepata maeneo ya minjingu akielekea babati. Alipata ajali baada ya kukwepa punda.

Amelazwa hospital sasa
 
Ajali hiyo amepata maeneo ya minjingu akielekea babati. Alipata ajali baada ya kukwepa punda.

Amelazwa hospital sasa

Duh....Mungu amsaidie na augue pole, so alikuwa anaendesha (self drive) ?...........
 
Pole yake.....dah ulivyoitaja babati nimepamiss sana......
 
Hiyo "napata" kwenye heading irekebishe na isomeke "apata" bila kuathiri maudhui yaliyokusudiwa.
 
Hiyo "napata" kwenye heading irekebishe na isomeke "apata" bila kuathiri maudhui yaliyokusudiwa.

Nimeshindwa kurekebisha hadi mods, niliandika vizuri sasa kwa vile nilitumia simu na kuna neno likajiweka. Nikashtuka baadaye
 
Back
Top Bottom