Uyu nimemtazama wakati anahojiwa sereously she is in drugs or something isnt right upstair. Maaana kunamabo anaulizwa unabaki unashangaa guts za kuyajibu anazitoa wapi,
Kaulizwa kupata deals za chupi and she was so confortable answering that question, honestly naaamini yeye ndio alivujisha ile clip and it was intensionally!!!
Someone please help that girl!!! Kuna kitu hakiko sawa kwa huyu binti!!!