Msanii wa bongo flovour Nandy adai umaarufu wake umeongezeka baada ya video yake chafu kuvuja

Msanii wa bongo flovour Nandy adai umaarufu wake umeongezeka baada ya video yake chafu kuvuja

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Yaani Nandi anajisifu kua umaarufu wake umepanda baada ya video yake chafu kuonekana mitandaoni mwezi uliopita, hili toto ni bure kabisa.

Je kama wewe mzazi wa huyu binti ungemshauri nini kwa huu ushuzi aliouzungumza leo??
 
If kweli she did that,then she is the most stupid na anazidi kujiharibia kabisa,ni aibu kabisa kwa jamii..stupid girl @#$%
 
Uyu nimemtazama wakati anahojiwa sereously she is in drugs or something isnt right upstair. Maaana kunamabo anaulizwa unabaki unashangaa guts za kuyajibu anazitoa wapi,

Kaulizwa kupata deals za chupi and she was so confortable answering that question, honestly naaamini yeye ndio alivujisha ile clip and it was intensionally!!!

Someone please help that girl!!! Kuna kitu hakiko sawa kwa huyu binti!!!
 
mwandishi wa habar anaeuliza hayo maswali ni kichaaa, alitaka tu kuendelea kumdhalilisha. Hapo Nandy nampa sifa kwa kujibu hivyo.
 
Ata Billnass naona anajiita Billndole.. Katika Remix ya Pochi Nene
 
Hii kiki imepangwa na wote Nandy na Billnas kwani kwenye rmx ya pochi nene,billnas kajipa aka ya Juma Nyoso ,yaani mzee wa ndole,msikilize hapa kutoka acc ya youtube ya Rayvanny
 
hapa ndo napata jibu kuwa video ile haikuvuja kwa bahati mbaya..na hata ule msamaha alioomba hakustahili kusamehewa...na kuna siku atatuletea video ambayo inaonyesha papuch lake wazi..hapa ndipo wasanii wa TZ walipofikia...
 
Kwa wasanii hasa wa kike wa Bongo, 'upumbavu' na 'umaarufu' complement each other.
IMG_20180512_212737.JPG
 
Back
Top Bottom