Msanii wa bongo flovour Nandy adai umaarufu wake umeongezeka baada ya video yake chafu kuvuja

Nandy Machupi anachekesha jamani....Tanzania nzima inasubiri binti Machupi afungue duka la kuuza chupi.
 
hapa ndo napata jibu kuwa video ile haikuvuja kwa bahati mbaya..na hata ule msamaha alioomba hakustahili kusamehewa...na kuna siku atatuletea video ambayo inaonyesha papuch lake wazi..hapa ndipo wasanii wa TZ walipofikia...
Kwa kiumbe anayeitwa mtanzania, kwenye idara zote za maisha, mishipa yote ya aibu imekatika. Si wasanii, si wanasiasa si nani... inapotokea kitu kinaitwa fedha hakuna tena aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…