Msanii wa bongo movie avuliwa zote nchini china na kufanyiwa upekuzi

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
MSANII WA BONGO MOVIE AVULIWA ZOTE NCHINI CHINA NA KUFANYIWA UPEKUZI;ALALAMIKA KUTOMASWA KIMAHABA WAKATI WA KUMKAGUA

MSANII wa Bongo Movie, Devota Mbaga hivi karibuni alipatwa na kisanga cha mwaka baada ya kuvuliwa nguo na maofisa wa uhamiaji alipoenda Hong Kong, nchini China kwa ajili ya shughuli zake za kibiashara.

[TABLE="class: tr-caption-container, width: 540, align: center"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Devota Mbaga.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]


Kwa mujibu wa staa huyo, alifanyiwa kitendo hicho cha kuvuliwa nguo zote na maofisa wa uhamiaji mara alipotua Uwanja wa Ndege wa Hong Kong na kumsachi kwa kuhofiwa kuwa amebeba ‘unga'.


Akizungumza na mwandishi wetu kwa njia ya simu, Devota alisema baada ya kuvuliwa, alishikwa sehemu zake za siri kitendo alichokiita ni cha kidhalilishaji.

"Ilikuwa ni baada ya kugongewa pasipoti yangu nikaingizwa kwenye kitengo cha polisi wa madawa ya kulevya ambao walinitaka nivue nguo zote ili nikaguliwe," alisema kwa masikitiko.

Msanii huyo alisema mbaya zaidi siku hiyo alikuwa katika mzunguko wake wa mwezi lakini maofisa hao hawakujali.

Kama vile haitoshi, Devota alisema kuwa, baada ya kumalizika kwa zoezi hilo maofisa hao walimchezea sehemu za kifuani huku wakimwambia kama hakutaka kufanyiwa hivyo angerudishwa alikotoka.

"Kwa kweli nimeumia sana kwa kitendo nilichofanyiwa, nimeshinda nikilia kutwa nzima na kila nikikumbuka naumia," alisema Devota.
 
Sasa Marafiki zetu wapendwa CHINA wanatufanyia HIVYO? Lakini Wamejaa KARIAKOO hivyo?

Isije Ikawa hii ni ONE WAY TRAFFIC... CCM na kujipendekeza na CCCP China...
 
Masogange arejea kwa kishindo...Luku ya vi naona huu mzigo anamiliki..siyo bure
 
Huyu naye ni Star wa nini ?Tanzania bwana.Yeye ni mwana mitindo aua anaigiza ? Acha mvuliwe nye si CCM na CCP damu damu ?
 
hee hao maofisa wenyewe hawakupata mihemko kweli. maaana mdada nae si haba
 
hee hao maofisa wenyewe hawakupata mihemko kweli. maaana mdada nae si haba

Anafanana sana na wachina, wakaamua wambake kwa kutumia mikono. Wangekuwa watz. masikini wangehukumiwa miaka 30 kwa kosa la ubakaji.
 
Tena hao wa kwao wanaojifanya wanafanya biashara za kuuza yeboyebo na maua fake ndo waseme kuwa wanafanya hii biashara ya unga. Ila pia watanzania tumetia fora sana kwa mambo ya mkato wa kupata hela!!!!!!!! Sasa dunia nzima kimenuka ila kwa bahati nzuri wenye mzigo wanajua kuhonga na ghafla unga unegeula powder ya watoto!!! au dawa ya pumu!!! Nzowa upooooo?
 
Anafanana sana na wachina, wakaamua wambake kwa kutumia mikono. Wangekuwa watz. masikini wangehukumiwa miaka 30 kwa kosa la ubakaji.

Kisheria anatakiwa akaguliwe na askari mwanamke. Kwa mantiki hii huyu dada anaweza kufungua kesi ya kudhalilishwa na kutaka fidia.
 
Anajishaua tu eti oooh wamenipapasa kifua wakati kimoyo moyo ali enjoy kwa mara ya kwanza alinyenyevuliwa na ngozi tofauti a.k.a vimacho vidogo ka chunusi!?
 
Alipenda kutomaswa huyo mtoto asitafute umaarufu humu.hawa bongo movis wanaishi mjini kwa skendo za ngono na uchoko
 
Tatizo wao wamekubali mno kuwa makontena
 
Alitumwa na masogange nn, au boss wake masogange, wasanii wa bongo ni pundabongolala
 
HE HIZI PESA BWANA!!Yaani unakubali uchezewe ili usirudishwe kwenu!!! Wangemwambia wafanye nae angekubali? Mimi sikubali ujinga huu. Mtu anichezee ili nisirudishwe kwetu? Haingii akilini. Alikubali kwa ujinga wake tu.
 
Tumewachoka hawaaminiki hawa
 
Huyu bonge nae anatafuta kiki tu nani atashka nyeti zenye damu chafu bhana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…