Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wachina hawajui haki za binadamu, halafu wana usongo kwenye madawa ya kulevya tangu enzi za "Opium Wars" .
Hivyo mkienda huko jueni hayo kabisa.
Hiyo 90 days visa free entry isiwafanye msahau kwamba hawa watu hawana adabu kwenye madawa ya kulevya.
Na hivi tulivyozoea ubishoo, mtu mfanyabiashara mtaji mdogo una mi gold kibao hawakawii kukwambia simama pembeni.
Especially kwa sababu "ndugu zetu" fulani washachafua huko.