Msanii wa bongo movie avuliwa zote nchini china na kufanyiwa upekuzi

Wachina hawajui haki za binadamu, halafu wana usongo kwenye madawa ya kulevya tangu enzi za "Opium Wars" .
Hivyo mkienda huko jueni hayo kabisa.

Hiyo 90 days visa free entry isiwafanye msahau kwamba hawa watu hawana adabu kwenye madawa ya kulevya.

Na hivi tulivyozoea ubishoo, mtu mfanyabiashara mtaji mdogo una mi gold kibao hawakawii kukwambia simama pembeni.

Especially kwa sababu "ndugu zetu" fulani washachafua huko.
 
Kwhyo wachina walipima oil? Tz imechafuka anga za kimataifa kwenye swala la drug trafficking.
 
Mbona kama kaandika na kigugumizi kingi ??
afunguke zaidi bana naona kuna mengi kaficha ooo nilikuwa kwenye siku zangu ?
naona hayo maneno ya kwenye siku zake kayabandika ilikuficha ukweli wa alichotendewa.ili tuseme hakufanyiwa sababu alikuwa kwenye siku zake ila haina shida kwani KABANG hainaga siku zake
 
Wakome kusafirisha madawa ya kulevya,Na wachina kujaa kariakoo si hoja kwani hii ni sheria ya nchi yao
 
wee Devo acha mambo yako,kwani hujawahi kushikwashikwa(TOMASWA).Siku nyingine potezea hizi habari,kila mtu ana nyege!.
 
Ndio mkome mmezidi sana mmejaa maskendo ya unga mpaka basi, sikunyingine mtakaguliwa hadi utumbo!
 
Siamini neno lolote toka kwa huyu mwanamama...

Wachina wa HongKong ni wastaarabu sio kama wale wa mainland China...
 
Alitaka kuwaambia wateja yuko china kufuata mzigo wa duka lake tu huyo, hana lotote.
 
Huyu mnamwita msanii kwa vigezo gani?hawa wanapenda safa ma promo wako tayari hata kupigwa picha zangono ziwekwe kwenye mitandao na huko china wanakwenda kujiuza tu sasa shida ipo wapi?anataka kiki tu
 
Sasa Marafiki zetu wapendwa CHINA wanatufanyia HIVYO? Lakini Wamejaa KARIAKOO hivyo?

Isije Ikawa hii ni ONE WAY TRAFFIC... CCM na kujipendekeza na CCCP China...

ni kweli walikuwa marafiki enzi za Nyerere lakini sasa ni mafisadi walioingia ubia na CCm
 
Huyu mnamwita msanii kwa vigezo gani?hawa wanapenda safa ma promo wako tayari hata kupigwa picha zangono ziwekwe kwenye mitandao na huko china wanakwenda kujiuza tu sasa shida ipo wapi?anataka kiki tu

kama vile ID yako yaani ume Wide -In,
kweli ........ wengine si wasanii lakini wanalazimisha tu, na huko nchi zingne ndio kazi zao hao.
 
wee Devo acha mambo yako,kwani hujawahi kushikwashikwa(TOMASWA).Siku nyingine potezea hizi habari,kila mtu ana nyege!.

pengne kaona ni promo hadi kuelezea jamii alivyofanywa, lakini kumbe kutomaswa amezoea kitamboo..... tena sn
 
Sasa Marafiki zetu wapendwa CHINA wanatufanyia HIVYO? Lakini Wamejaa KARIAKOO hivyo?

Isije Ikawa hii ni ONE WAY TRAFFIC... CCM na kujipendekeza na CCCP China...

Ndo matokeo ya Utahira wetu watanzania acha tudhalilishwe tungekuwa na akili tungekuwa tunaongozwa na viongozi makini ambao wangetuletea heshima kama taifa
 
Wasachini!!! tena wavueni nguo zote!!! tumechoka!
 
Wakati anashikwa hao waandishi wa habari walikuwepo?? Kwani angenyamaza nani angejua kavuliwa nguo zote??,apo yeye ndo anajidhalilisha,sasa si angewaambia hao waliomvua sisi tufanyaje sas,blood imbecile

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…