Msanii wa bongo movie Riyama Ally hujawatendea haki Azam Media

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491
download.jpg

Msanii wa bongo movie Riyama Ally uliyechaguliwa kushiriki Tuzo za Sinema zetu pale Mlimani city na hukwenda lakini umemjibu vibaya mmoja wa wapenzi wa sinema kuwa tuzo hizo ni kama ulihongwa tu sidhani kama ni maneno mazuri sana.

Kwasababu Mkurugenzi wa Azam Media Tido Mhando alitoa maelezo kuwa walipokea filamu nyingi sana na majaji walizichuja kwa vigezo bila hata kujuana na kufikia maamuzi ya nani anastahili tuzo.

Sasa kama na wewe uliwekwa katika mizani na ukashinda basi heshimu waliokuchagua na si kukebehi Tuzo hizo utajiharibia watazamaji na majaji wameheshimu kipaji chako.
 
View attachment 734176

sawa Mgambo
 
Mibongo movie Inalialia soko la filamu cjui limekuwaje halafu ikiitwa inalinga
 
Sasa Watu wanajaribu kuwafufua tena mnawakebehi?
 
Anataka tuzo zipi ..... za kujua kulia ama ?
 
View attachment 734176
Msanii wa bongo movie Riyama Ally uliyechaguliwa kushiriki Tuzo za Sinema zetu pale Mlimani city na hukwenda lakini umemjibu vibaya mmoja wa wapenzi wa sinema kuwa tuzo hizo ni kama ulihongwa tu sidhani kama ni maneno mazuri sana.

Kwasababu Mkurugenzi wa Azam Media Tido Mhando alitoa maelezo kuwa walipokea filamu nyingi sana na majaji walizichuja kwa vigezo bila hata kujuana na kufikia maamuzi ya nani anastahili tuzo.

Sasa kama na wewe uliwekwa katika mizani na ukashinda basi heshimu waliokuchagua na si kukebehi Tuzo hizo utajiharibia watazamaji na majaji wameheshimu kipaji chako.
mm hata simjui
 
Hujui kuwa huyo ni malkia wa mipasho duniani!?
 
Msanii wa kike ambaye anajua kuliko wote ila sijui nyota au nini,,ni Irene Paul,, acha kabisa

Kwa wanaume ni Mr Chick,,,
 
Back
Top Bottom