mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Hiki kiemoj nakifananishaga na le kibamiaz.[emoji41][emoji41][emoji41]
Huyo anajiongelesha kingereza movie nzima na sijui nani alimshauri ajiongezee weupeMsanii wa kike ambaye anajua kuliko wote ila sijui nyota au nini,,ni Irene Paul,, acha kabisa
Kwa wanaume ni Mr Chick,,,
sawa Mgambo
hahaasawa Mgambo