Msanii wa bongo movie Riyama Ally hujawatendea haki Azam Media

Msanii wa bongo movie Riyama Ally hujawatendea haki Azam Media

Msanii wa kike ambaye anajua kuliko wote ila sijui nyota au nini,,ni Irene Paul,, acha kabisa


Kwa wanaume ni Mr Chick,,,
Huyo anajiongelesha kingereza movie nzima na sijui nani alimshauri ajiongezee weupe
 
Mbali na kuwa na mashavu manene kuliko wenzake wote wa Bongo Movie hakuna kingine anachowazidi.

Full Stop.
 
Jana nilikua namsikiliza hata sikuwa napata point yake na sikujua ni kipi anadai yeye.

Sijui alitaka kupewa tuzo bila kupambanishwa na mtu na je angeshinda hiyo tuzo na kumbwaga mpinzani wake pia angesema hayo maneno?
 
Back
Top Bottom