Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Goma la stivu nyerere hilo kaoa kabisa
 
Ni sawa na kuku wa morogoro hata umfuge gorofani hawezi kunenepa na kurefuka.

Inahitaji uvumilivu wa hali ya juu, plus mapendo ya valentine
Mpeleke shule! muelimishe!
 
mtoto hatari sana huyu,yuko sexy,ana swaga za kutosha,anajua kucheze na camera ila kwa uzuri sio kivile,sema ana umbo matata sana na ni mrembo ki kweli kweli,apa wakina uwoya na wema wakae pembeni wamepata mbabe wao
😁😁😁😁😁😁😁 Mkuu naona sifa zote umemaliza Bado ya shemeji yetu sasa
 
Huyu dada wello Sengo ashauriwe apunguze kulia Sana. Yeye Ni kulia tu na uzungu mwingi.
 
huu uzi wa zamani coment za juu hata mtoa mada nahisi mlikuwa mnamsifia huyu na kuiulizia full pc πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
laikini wellu wa leo kuna watu watafuta comment zao huko juuπŸ˜„πŸ˜„yaani amedebweda sana, halafu anapenda kujiliza na kujiongelesha kiswaenglish na makope bandiaπŸ˜„πŸ˜„kifupi kachuja fasta hadi bibi aunt ezekiel anaonekana kijana kwakeπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kama amezaa na Semaji linalokataliwa la Shirikisho basi tena... NI KAZEZE NI KAZEZE
 
frankly speaking Wellu ni mwanamke flani very classic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…