Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Duuh..kaka huu mzigo hata mie jana nimeugumia kwenye kideo cha bongo muviz mitaa ya east africa tv..ni noumaaa. Umejinyea huo..umesimamia kucha mpaka nikajikuta nakatiza usingizi nimpige chabo...weka full pics chief uone hilo banda la uani plus usafiri...aibuuuu.
Goma la stivu nyerere hilo kaoa kabisa
 
mtoto hatari sana huyu,yuko sexy,ana swaga za kutosha,anajua kucheze na camera ila kwa uzuri sio kivile,sema ana umbo matata sana na ni mrembo ki kweli kweli,apa wakina uwoya na wema wakae pembeni wamepata mbabe wao
😁😁😁😁😁😁😁 Mkuu naona sifa zote umemaliza Bado ya shemeji yetu sasa
 
Huyu dada wello Sengo ashauriwe apunguze kulia Sana. Yeye Ni kulia tu na uzungu mwingi.
 
huu uzi wa zamani coment za juu hata mtoa mada nahisi mlikuwa mnamsifia huyu na kuiulizia full pc 😄😄😄
FB_IMG_16475521604436790.jpg

laikini wellu wa leo kuna watu watafuta comment zao huko juu😄😄
FB_IMG_16475520467484574.jpg
yaani amedebweda sana, halafu anapenda kujiliza na kujiongelesha kiswaenglish na makope bandia😄😄
FB_IMG_16475520053380241.jpg
kifupi kachuja fasta hadi bibi aunt ezekiel anaonekana kijana kwake😄😄😄
 
huu uzi wa zamani coment za juu hata mtoa mada nahisi mlikuwa mnamsifia huyu na kuiulizia full pc 😄😄😄View attachment 2154712
laikini wellu wa leo kuna watu watafuta comment zao huko juu😄😄View attachment 2154713yaani amedebweda sana, halafu anapenda kujiliza na kujiongelesha kiswaenglish na makope bandia😄😄View attachment 2154714kifupi kachuja fasta hadi bibi aunt ezekiel anaonekana kijana kwake😄😄😄
Kama amezaa na Semaji linalokataliwa la Shirikisho basi tena... NI KAZEZE NI KAZEZE
 
frankly speaking Wellu ni mwanamke flani very classic
 
Back
Top Bottom