Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Classic kisa anazungumza Ngeli ya Nooooo Ila mwanamke mnene kama Yeye Hivyo kwangu Hapana [emoji275][emoji275][emoji275]

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ boss uzi wa 2019 nahis enzi hizo saa hii ana maunyamanyama tumbo sijui la bia au gongo gono kubwa limeninginia yaani ni kazezeeπŸ˜„πŸ˜„
 
Huyu hapa amekuwa Mbongeee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ najua miruzi yote imepotea zizi kwa sasa

steve amemperepeta mrembo huyuπŸ˜„πŸ˜„ amebaki anapost pasport size.
 
Anakasura ila sio kwa ubonge ule,wasanii wetu sijui kwanini hawana desturi yakufanya mazoezi Ona shilole ni cute but that body bruh[emoji1373]Wawe wanaangalia hata waigizaji wenzao waSouth au Kenya hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…