Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Classic kisa anazungumza Ngeli ya Nooooo Ila mwanamke mnene kama Yeye Hivyo kwangu Hapana [emoji275][emoji275][emoji275]

Sent using Jamii Forums mobile app
😄😄😄 boss uzi wa 2019 nahis enzi hizo saa hii ana maunyamanyama tumbo sijui la bia au gongo gono kubwa limeninginia yaani ni kazezee😄😄
 
huu uzi wa zamani coment za juu hata mtoa mada nahisi mlikuwa mnamsifia huyu na kuiulizia full pc [emoji1][emoji1][emoji1]View attachment 2154712
laikini wellu wa leo kuna watu watafuta comment zao huko juu[emoji1][emoji1]View attachment 2154713yaani amedebweda sana, halafu anapenda kujiliza na kujiongelesha kiswaenglish na makope bandia[emoji1][emoji1]View attachment 2154714kifupi kachuja fasta hadi bibi aunt ezekiel anaonekana kijana kwake[emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
 
images
Mashallah. Welcome to Dubai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
😄😄😄 najua miruzi yote imepotea zizi kwa sasa

steve amemperepeta mrembo huyu😄😄 amebaki anapost pasport size.
 
Anakasura ila sio kwa ubonge ule,wasanii wetu sijui kwanini hawana desturi yakufanya mazoezi Ona shilole ni cute but that body bruh[emoji1373]Wawe wanaangalia hata waigizaji wenzao waSouth au Kenya hapo.
 
Back
Top Bottom