Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Nasikia ilipigwa mnada hii shule nn kilimsibu KP maana alikuwa smart sana huyu mzeeShule aliyokuwa anamiliki Kanali Idd Kipingu,iko Mapinga huko
Kuna sponsorship alikuwa anatoa zikazidi makusanyo,akaongeza jiko na familia ikawa inatumbua kipatoNasikia ilipigwa mnada hii shule nn kilimsibu KP maana alikuwa smart sana huyu mzee
alijiunga na siasa za upinzani zikamgalimuNasikia ilipigwa mnada hii shule nn kilimsibu KP maana alikuwa smart sana huyu mzee
SimfahamTima je?
Daah kumbee? Nimesoma pale o level Makongo enzi hizo headmaster nilisoma miaka mi3 bure Bila kulipa ada maana alikuwa anatoa exemption kwa wanafunz waliokuwa wanafanya vizur kwenye masomo yao, alikuwa na roho nzuri sana kwakwelialijiunga na siasa za upinzani zikamgalimu
Hilo la kutoa sponsorship alikuwa nalo sana hata Makongo pia kipindi akiwa headmaster watu wamesoma sana bure paleKuna sponsorship alikuwa anatoa zikazidi makusanyo,akaongeza jiko na familia ikawa inatumbua kipato
Hali ilipoyumba akapata mikopo na aliposhindwa kulipa ikapigwa mnada.
Mmoja ya wabunge wa viti maalum wa Zanzibar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo nani huyo
Hii sijawahi sikia,KP hajawahi kufanya siasa za ushindanialijiunga na siasa za upinzani zikamgalimu
Ukiwa na kipaji cha michezo tu,basi anakusponsorHilo la kutoa sponsorship alikuwa nalo sana hata Makongo pia kipindi akiwa headmaster watu wamesoma sana bure pale
Hilo la siasa chai,siyo kweli.Mwishoni alikuwa mwenyekiti wa Baraza la michezo( BMT)Daah kumbee? Nimesoma pale o level Makongo enzi hizo headmaster nilisoma miaka mi3 bure Bila kulipa ada maana alikuwa anatoa exemption kwa wanafunz waliokuwa wanafanya vizur kwenye masomo yao, alikuwa na roho nzuri sana kwakweli
Anacheza kule DSTV na Akina Devi,Mzee Kashaulo,Sidi,Mboto et cetraSimfaham
upepo wa lowasa ule ulipita nae yule ni class mate wake ila nashangaa mzee kwa umri wake na pamoja kuwa kwenye system miaka yote alishindwa kusoma upepoHii sijawahi sikia,KP hajawahi kufanya siasa za ushindani
Swali gan!!Chura anayo lakini au
Ova
Hulioni swali hilo mkuu
Ova
Unauliza makofi police. Tako la wellu ni trakoHulioni swali hilo mkuu
Ova
Binti zake pia ni warembo, ana watoto wazuri sanaAna sura nzuri sana, ila ndo kazaa na stivu[emoji58][emoji2364]
Ana watoto wawili wa kike, wazuri[emoji8]Kwahiyo ana watt 2 kila mtt na baba ake?
Mi najua kazaa na Steve Nyerere, kumbe kazaa na mwingine pia?[emoji848]