Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Nasikia ilipigwa mnada hii shule nn kilimsibu KP maana alikuwa smart sana huyu mzee
Kuna sponsorship alikuwa anatoa zikazidi makusanyo,akaongeza jiko na familia ikawa inatumbua kipato
Hali ilipoyumba akapata mikopo na aliposhindwa kulipa ikapigwa mnada.
 
alijiunga na siasa za upinzani zikamgalimu
Daah kumbee? Nimesoma pale o level Makongo enzi hizo headmaster nilisoma miaka mi3 bure Bila kulipa ada maana alikuwa anatoa exemption kwa wanafunz waliokuwa wanafanya vizur kwenye masomo yao, alikuwa na roho nzuri sana kwakweli
 
Kuna sponsorship alikuwa anatoa zikazidi makusanyo,akaongeza jiko na familia ikawa inatumbua kipato
Hali ilipoyumba akapata mikopo na aliposhindwa kulipa ikapigwa mnada.
Hilo la kutoa sponsorship alikuwa nalo sana hata Makongo pia kipindi akiwa headmaster watu wamesoma sana bure pale
 
Daah kumbee? Nimesoma pale o level Makongo enzi hizo headmaster nilisoma miaka mi3 bure Bila kulipa ada maana alikuwa anatoa exemption kwa wanafunz waliokuwa wanafanya vizur kwenye masomo yao, alikuwa na roho nzuri sana kwakweli
Hilo la siasa chai,siyo kweli.Mwishoni alikuwa mwenyekiti wa Baraza la michezo( BMT)
 
Hii sijawahi sikia,KP hajawahi kufanya siasa za ushindani
upepo wa lowasa ule ulipita nae yule ni class mate wake ila nashangaa mzee kwa umri wake na pamoja kuwa kwenye system miaka yote alishindwa kusoma upepo
 
Back
Top Bottom