Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Wapenzi wa Bongo Movie mnasemaje kuhusu huyu WELLU SENGO? Kuna watu anayeweza kutupa full historia yake?

Wellu.jpg

Wellu 2.jpg
 
Duuh..kaka huu mzigo hata mie jana nimeugumia kwenye kideo cha bongo muviz mitaa ya east africa tv..ni noumaaa. Umejinyea huo..umesimamia kucha mpaka nikajikuta nakatiza usingizi nimpige chabo...weka full pics chief uone hilo banda la uani plus usafiri...aibuuuu.
 
The Boss

Mkuu huyu ni Like Abrahamu, umechanganya mkuu, zile picha za kwanza na ya pili ndio Well Sengu hii ya tatu huy ni Like abrahamu, hawa mabinti walikuwa wanashirik kweny michuano ya Cheza, Vaa Imba kama Rihanna kweny ukumbi wa Dar Live
 
Last edited by a moderator:
mie kuna kipindi nilimuona katika TAKE ONE akaelezea historia yake

sikufatilia sana, huko kwingine,ila niliconcentrate pale alipoelezea mateso ambayo

mama yao amepitia kwa ajili yao,akanyanyaswa na ndugu zao..........

The way alivyokua analia,i just dont knw kwanini nilitokwa na mchozi

sijui ni ile historia ya familia yake inafanana na yangu...............
 
Duuh..kaka huu mzigo hata mie jana nimeugumia kwenye kideo cha bongo muviz mitaa ya east africa tv..ni noumaaa. Umejinyea huo..umesimamia kucha mpaka nikajikuta nakatiza usingizi nimpige chabo...weka full pics chief uone hilo banda la uani plus usafiri...aibuuuu.

Nazitafuta picha za full sipati..
ni mkali huyu mtoto..ila sijui yukoje
full uswazi au yupo afadhali afadhali
 
Hakuweza kumaliza form 4 kutokana na matatizo ya kifamilia, ana elim ya College & amelelewa na mama yake tu
 
mtoto hatari sana huyu,yuko sexy,ana swaga za kutosha,anajua kucheze na camera ila kwa uzuri sio kivile,sema ana umbo matata sana na ni mrembo ki kweli kweli,apa wakina uwoya na wema wakae pembeni wamepata mbabe wao
 
Back
Top Bottom