msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

Yaani mark x nayo ni mafanikio?!
Aisee! Bora kwend shule. Somesheni watoto jamani

Shkamoo mwalimu............

neno mafanikio lina maana tofauti tofauti kulingana na mitazamo ya watu.... kwake kuwa na Mark x ni mafanikio makubwa sana........
 
Naomba ni nukuu "oyeaaaaaa Thanx Lod imetimia" mwisho wa kunukuu
 

Kumbe kapewa gari na LOD... Naona thanx lod...
 
Mnacheka mark x wakati hata bajaji hamna unaijua hali yake ya kimaisha kabla hajawa mwanamuziki? Ndio maana kaandika ndoto yake imetimia wengine humu jamii forum hawana hata chumba wanaponda mark x poooor haters.
truuuuuu........
 
The biggest challenge about Success is keeping quite about it
 
Kigari chenyewe cha mtumba?aibu
 
Mafanikio is mpaka umiliki gari ya milioni 150 na jumba la ma bilions. Kwake yeye ni mafanikio kalipata kwa jasho lake.
Hajaongwa kama wanawake na mademu wa bongo movie wanaohongwa kwa kugawa papuchi kwa mapedeshee kwa hiyo ka toil kapata kwa juhuddi zake.
Humu kuna watu wanapiga kelele wakati hawana hata kituu na kama wana chochote utakuta ni wale watoto wa daddy can I drive Your car, wanaishi kwa wazazi wanasubiri kupewa kila kitu na wana umri mkubwa zaidi ya barnaba na bado wanadiriki kumkandia.
Kijana kajitahidi sema wananiboa kutangaza vimali vyao maana kuna watu wana maela mengi lakina hawajitangazi.
 
duh wabongo wana wivu,...wengi tu hapa mnajishaua na akati tunajua mnapanda daladala hadi leo
 
barnaba 2010_2011 alikuwa anaingiza cash 5 million kila shoo na ilikuwa kila wikiend ana show si chini ya 2.
Akili haikutulia hela yote akawa anampa mama steve naye mwanamke anajirusha tu.
Sifikirii maana cpo dar kama anaingiza angalau 10 mil kwa wiki.
Eti wanasema yule mwanamke alimpaga limbwata
 

Mama Steve alikuwa anampiga mpaka mangumi mbele za watu uyu boya..tatizo lake cjui iyo shule ndogo,au kaushamba kasikoisha.
 
Bora Nissan Armada yangu kumbe kali lol kigari kama bata
mnh! una mambo ww....kama nilikuwa natembea kwa miguu then nikapata baiskeli; ndo mafanikio yenyewe hayo! Kama nyie mwa-post midude yenu ya bei mbaya huko mainstigramu; acheni nami niposti kabaskeli kangu; shida iko wapi??!!
 
Well....sijui alikuwa na gari gani au kama ana gari nyingine ila kwa maoni yangu alipaswa awe na mafanikio zaidi ya hii gari (huenda anayo, hapa hatujui vizuri). Kama sio, wasanii kweli wananyonywa

Alikuwa na Toyota OPa kama alivyoanza Diamond na Dully Sykes..sasa naona ameamu kujiongezea gharama za mafuta,plus road licence na insurance juu!!!kwa Opa na Mark X mmh haya mwee,basi sawaaaa,utuonyeshe na Kiwanja hata Kitunda,sio mnanauna magar huku mmepanga Mburahati!!
 
Thank God kwakila jambo jmn ilo Ndio analoweza kumudu..... hongera barnaba
 
Hongera sana little Brother. Usiwasikilize binadamu huwa hawakosi la kusema, usingekuwa na hilo gari wangesema oh Barnaba pamoja nakuimba kote hana kitu choka mbaya! Umepata hata hicho kidogo bado wanakandia. Damn humanity!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…