Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mark x nayo ni mafanikio?!
Aisee! Bora kwend shule. Somesheni watoto jamani
Bora Nissan Armada yangu kumbe kali lol kigari kama bata
Tehe tehe tehe........umenikumbusha niliona kanga imeandikwa.......wivu ni kidonda ukishiriki utakonda...
Ulizia Nissan Armada na hiyo ya hyo msanii wakoo,!!
Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi ya muziki wanayoifanya.
Barnaba wa THT leo amemwonesha baby wake mpya kupitia Instagram, tena akiwa bado hata hajapewa birth certificate.
Ameionesha gari yake mpya aina ya Toyota Mark X ikiwa bado na chasis namba na kuandika Oyeaaaaa Thanx Lod imetimia.
Katika picha nyingine Barnaba a.k.a baba Steve aliandika New, na picha ya tatu aliandika Kaz nzuri na mambo mazuri.
truuuuuu........Mnacheka mark x wakati hata bajaji hamna unaijua hali yake ya kimaisha kabla hajawa mwanamuziki? Ndio maana kaandika ndoto yake imetimia wengine humu jamii forum hawana hata chumba wanaponda mark x poooor haters.
Anajua??
barnaba 2010_2011 alikuwa anaingiza cash 5 million kila shoo na ilikuwa kila wikiend ana show si chini ya 2.
Akili haikutulia hela yote akawa anampa mama steve naye mwanamke anajirusha tu.
Sifikirii maana cpo dar kama anaingiza angalau 10 mil kwa wiki.
Eti wanasema yule mwanamke alimpaga limbwata
mnh! una mambo ww....kama nilikuwa natembea kwa miguu then nikapata baiskeli; ndo mafanikio yenyewe hayo! Kama nyie mwa-post midude yenu ya bei mbaya huko mainstigramu; acheni nami niposti kabaskeli kangu; shida iko wapi??!!Bora Nissan Armada yangu kumbe kali lol kigari kama bata
Well....sijui alikuwa na gari gani au kama ana gari nyingine ila kwa maoni yangu alipaswa awe na mafanikio zaidi ya hii gari (huenda anayo, hapa hatujui vizuri). Kama sio, wasanii kweli wananyonywa