Msanii wa Bongofleva Malaika, apiga picha za utupu

Najaribu hata ku-photoshop lakini mpaka sasa sijaona uchi wala utupu. Wabongo wanafiki sana. Kila siku wanaona K ya mbuzi lakini hawalalamiki, kuona chakula cha mtoto aka NIDO kila mtu anajifanya mwanamaadili.
 
Nabii Fid Q alisema, 'ukiona wanavaa nusu uchi (au kuwa uchi kabisa) ujue wamechoka kuuza sura'
 
Jamani naombeni kuuliza... Huo Uchi uko wapi? au simu yangu inanificha ukweli wa huo uchi uliowekwa na mleta thread?
 
Hivi ngono na mziki vina uhusiano gani?wasanii wanaoimba nyimbo za mapenzj hawaamini kuwa ujumbe unafika bila kukaa uchi
 
Jezebel
 
Mbona amevaa nguo ya 'Nailon'? By the way ana matiti mazuri ndio maaana kathubutu kupiga. Angekuwa na ziwa ndala, wwe sidhani kama angethubutu...
 
alikuwa mzuri zamani saiz makeup nyingi..nilimpenda kwenye ushwazi take away ya chegge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…