Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

wema alivyo attention seeker azimie mara moja! thubutuu! unamjua wema unamsikia wewe! fursa hii kwake lazima afanye jina lake liwe midomoni mwa watu hapo msibani na magazetini pia.

Wema anasubiria siku ya kuaga maiti lazima aweke tukio....maana Yule dada ana ugonjwa wa Attention seeker ...usipompa lazima akununie.
 
Hivi mbona mtu kama Cheni yeye ana maendeleo makubwa tu. Ingawa hajigambi kama hawa wengine au sijui kapevuka.
Yeye soko la movies zake ni wapi ili awatoe na wadogo zake?

Cheni ana maendeleo gani kwani ya maana?
 
NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba

Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa
Cc: TATIANA, Mrembo by Nature, Ruttashobolwa, lusungo, Dinazarde, @qn od sheba, ladykims, geniveros

Pole Sana binamu.. maisha ya Dar watu spid sana inawezekana kutoka saa 11 kurudi 5 usiku so inakuwa ngumu watu kumjua.
 
Last edited by a moderator:
Sasa steve kulia kote kule kumbe hata msibani hayuko?? Heh kweli kila mwenda msibani ana agenda yake. Nimemuona steve akikagua majeneza teh teh usishangae jeneza bei yake ikawa M.10 kwa bei ya steve.

Mzee wa fursa sioo..
 
Pole Sana binamu.. maisha ya Dar watu spid sana inawezekana kutoka saa 11 kurudi 5 usiku so inakuwa ngumu watu kumjua.
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjue
 
muulize stara thomas.

kiukweli sijamuelewa stara thomas na yule mpambaji lulu star tv jana wakati wanajieleza inamaana wote walikuwa wa marehemu ? Stara si alikuwa na mumewe mwembamba hivi ? Majanga!
 
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjue

Uyu jamaa hakuwa maarufu ata...ndio sababu hausikii ata mitaani watu wakiongelea huu msiba.
 
Uyu jamaa hakuwa maarufu ata...ndio sababu hausikii ata mitaani watu wakiongelea huu msiba.

Jaman atakuwa ana nyota gan mda wote amekaa kampuni ya Jerusalem asijulikane
May be kuna tatizo au alikuwa hajichanganyi na watu au ndo watu kuona bunju mbali
 
kiukweli sijamuelewa stara thomas na yule mpambaji lulu star tv jana wakati wanajieleza inamaana wote walikuwa wa marehemu ? Stara si alikuwa na mumewe mwembamba hivi ? Majanga!

Mi mwenyew nilishangaa kwa kweli, yaan vifo vinaumbua meng, nasikia alikuwa mchepuko wa marehemu na watu wanajua vizur so walioshangaa ni wachache ila watoto wa mujin wanayo hii kitambo sana
 
Kweli , huu msiba haujawa habar ya mujini kama wa marehemu steve, nasubir tu kuona kiongoz gan atakuwepo

Hat kwenye TV hawatangazi kiivyo
Majibu yooote tutayapata kesho kwenye mazishi leaders club kwa mtindo huu sidhan kama kuna Kiongozi atakayekuwepo kwa maana hat wasanii wenzie hawajaupa kipaumbele kama na Steve na wengine waliokufa
 
Jaman atakuwa ana nyota gan mda wote amekaa kampuni ya Jerusalem asijulikane
May be kuna tatizo au alikuwa hajichanganyi na watu au ndo watu kuona bunju mbali

Alikuwa sipendeki marehemu..watu walikubali kazi yake ila yeye hawakumpenda....Ata Sajuki amemfunika.
 
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjue

mke si anae?ye ndo angekuwa anajimix na wamama wa kitaa kwenye matukio,mana wabongo tuna tabia ya kuangaliana misibani.nani kaja nani hajaja km hujichanganyi,yakikuta wanakususa.
 
Mie nawashangaa nyie mnaosubiri kupima umaarufu kwa kuangalia kiongozi gani atahudhuria msibani
 
Back
Top Bottom