wema alivyo attention seeker azimie mara moja! thubutuu! unamjua wema unamsikia wewe! fursa hii kwake lazima afanye jina lake liwe midomoni mwa watu hapo msibani na magazetini pia.
Hivi mbona mtu kama Cheni yeye ana maendeleo makubwa tu. Ingawa hajigambi kama hawa wengine au sijui kapevuka.
Yeye soko la movies zake ni wapi ili awatoe na wadogo zake?
NDo nimetoka eneo la tukio binamu, yaani hakuna watu hata kidog , nadhan waliokuwepo ni ndugu wa karibu na familia, nadhani ni kutokana na mda nilioeenda na umbali wa eneo la tukio, maana kuna ka umbali kutoka barabaran had kwenye msiba
Kingine watu wengi hawamjui adam kuambina, hata majiran wa uko bunju maana nilipata shida sana kufika, yaan hakuna aliyekuwa akimjua adam maeneo yale, nadhan hakuwa mwenyej sana maeneo yale, mengine madogo madog ntaongea kesho maana choka mbaya apa
Cc: TATIANA, Mrembo by Nature, Ruttashobolwa, lusungo, Dinazarde, @qn od sheba, ladykims, geniveros
Sasa steve kulia kote kule kumbe hata msibani hayuko?? Heh kweli kila mwenda msibani ana agenda yake. Nimemuona steve akikagua majeneza teh teh usishangae jeneza bei yake ikawa M.10 kwa bei ya steve.
Cheni ana maendeleo gani kwani ya maana?
Cheni afadhali maana ana double coasters za Goms via posta na nyumba kama sijakosea
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjuePole Sana binamu.. maisha ya Dar watu spid sana inawezekana kutoka saa 11 kurudi 5 usiku so inakuwa ngumu watu kumjua.
muulize stara thomas.
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjue
Uyu jamaa hakuwa maarufu ata...ndio sababu hausikii ata mitaani watu wakiongelea huu msiba.
Uyu jamaa hakuwa maarufu ata...ndio sababu hausikii ata mitaani watu wakiongelea huu msiba.
kiukweli sijamuelewa stara thomas na yule mpambaji lulu star tv jana wakati wanajieleza inamaana wote walikuwa wa marehemu ? Stara si alikuwa na mumewe mwembamba hivi ? Majanga!
Kweli , huu msiba haujawa habar ya mujini kama wa marehemu steve, nasubir tu kuona kiongoz gan atakuwepo
Jaman atakuwa ana nyota gan mda wote amekaa kampuni ya Jerusalem asijulikane
May be kuna tatizo au alikuwa hajichanganyi na watu au ndo watu kuona bunju mbali
kama msanii mkubwa kama marehem steve hakuwa na nyumba sembuse huyu jamaa?, kujenge sio m@tak0 useme kila mtu anayo
Na kweli Binamu maisha yenyewe ya dar huenda mishe mishe ndo zinamfanya asionekana hat watu wasimjue
Huyu yeye alikuwa msanii wa nini?