Msanii wa Filamu "Adam Philip Kuambiana" afariki dunia

nina mashaka kama wewe ni muandishi, kazi ya mhariri ni nini?
 
nina mashaka kama wewe ni muandishi, kazi ya mhariri ni nini?

we nani?uulize hayo maswali?mjaaaruta wee,wazungu wanakutafta mparamia ukuta wewe!hovyooooooo,mbele huna,nyuma huna kati pameoza,usishobokee warumi!shobokoe bwana upate mimba!
 
we nani?uulize hayo maswali?mjaaaruta wee,wazungu wanakutafta mparamia ukuta wewe!hovyooooooo,mbele huna,nyuma huna kati pameoza,usishobokee warumi!shobokoe bwana upate mimba!
uzuri wa jf huwa hatutumii nguvu kuonesha tofauti ya iq, wasomaji ndio huwa majaji wazuri.

I will never and i mean it kuwa provoked na kibwengo kama wewe.

dandia daladala usidandie mabolo.
 
uzuri wa jf huwa hatutumii nguvu kuonesha tofauti ya iq, wasomaji ndio huwa majaji wazuri.

I will never and i mean it kuwa provoked na kibwengo kama wewe.

dandia daladala usidandie mabolo.

hahahahaaaaaaaaaaaaaa!halloooooooow
 
We mwenye ig kubwa,kinakuwasha nini,huna sea wewe,una hashuo za mlevi kwenda na nguo kurudi uchi kilabuni,we km mzima kuutwa kubishana na vijana,HUNA HAYA,HUJUI VIBAYA,MWANAKWENDA WEE,hiloooooo,tafuta size yako!shevuuuuuuuu

labda ungenieleza kosa langu ni lipi kuuliza kazi ya mhariri ningekuelewa vizuri kuliko kuleta ushabiki kwa kitu kisichohitaji ushabiki.

kama unadhani hili ni jukwaa la watoto unajipotosha bure, do your home work siku moja retrieve thread za mwaka 2006 to date utajifunza kitu.

Na mwisho katika kanuni za uandishi jiepushe na ALL CAPS au mixing herufi ndogo na kubwa kwenye same paragraph ni ishara ya shouting.

Alamsiki.
 
Binamu potezea bhana

Naona madame sijui ndo kasusia msiba sijui ama vip maana hajaonekana kwenye msiba wala kupost kitu chochote kwenye wall yake kuhusiana na msiba wa adam, licha ya kuwa adam ndo kahusika sana kwenye filamu yake ya "my family" ambayo had sasa haijakamilika

Watu wananong'ona kama na yeye ndo kaamua kulipiza kisasi ama vip maana na yeye walimsusia msiba wa baba yake, yaan mambo yote yatajulikana kesho pale leaders , naona mambo yatakuwa hoot sana , ngoja tuone hyo kesho, pia mahudhurio ya mastaa wa filamu sio ya kuridhisha kihivyoo
 
Mkuu warumi updates

Hakuna jipya mkuu, ila watu wamejaa kdogo though mastaa sio wengi kihivyo, na inasemekana madam ambaye adam ndo alikuwa director wa movie yake mpya hajaudhuria kwenye msiba achilia mbali kutoa pole ya kinafk ya IG kama wafanyavyo baadh ya wasanii, kuna tetes kuwa na yeye kaamua kususa msiba kama bongo movie walivyomsusia msiba wa baba yake, sasa haijajulikana kama ni kweli au lah, ndo wapambe aka wapiga domo wanasubir hyo kesho kama watamuona au lah, wengine wanaosubiriw kwa hamu ni JB ambaye yupo uturuk na akina uwoya pamoja na wastar n riyama ambao wapo uko london kama watakuja kumzika ndugu yao huyo ama vip, maana marehem ali play role kubwa sana kuhakikisha movie za JB zinafanya vizur na kupendwa sana, ila wengi hawajui, movie kali za jb kama REGINA,DANIJA,BASILISA na nyingine kibao jamaa alitia mkono wake kuhakikisha mambo yanakuwa poa, so tunasubir kama ataendekeza raha za uko uturuk na kukacha kumzika adam au vip
 
Last edited by a moderator:
Binamu naona celebrities forum limegeuka sijui jukwaa la kufundishana paragraph na capital letter mmh, apa sisi kipaumbele umbea hayo MEngInE apeleke uko KANTANGAZE PRIMARY SCHOOL wakafundishane vizur hayo mambo

Hapa tunataka umbea tu sie masharti ya uandishi yanahusika sijui jukwaa la lugha au wapi mi sijui...
Udaku ukiletwa hapa hata kama maneno hamna space tutamulika na kusoma tu
 
Binamu naona celebrities forum limegeuka sijui jukwaa la kufundishana paragraph na capital letter mmh, apa sisi kipaumbele umbea hayo MEngInE apeleke uko KANTANGAZE PRIMARY SCHOOL wakafundishane vizur hayo mambo

Akantangazeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Thx for the updates mkuu...maybe wanajiandaa na nitoke vipi kesho..
 
Binamu naona celebrities forum limegeuka sijui jukwaa la kufundishana paragraph na capital letter mmh, apa sisi kipaumbele umbea hayo MEngInE apeleke uko KANTANGAZE PRIMARY SCHOOL wakafundishane vizur hayo mambo

Nimempa kubwa eti anajifanya mwl wa kiswahili,aende zake huko.Ajipange la sivyo ntampanga.Kwani kukaa karibu na mahakama ndo kujua uhakimu?hata km umejiunga siku waliyoanza jf ni ya wote,we na mi nlojiunga juzi!usipojihesabu tutakuhesabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…