warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Safari ya kwenda kwa marehemu Bunju imeanza
Safi mkuu na mim ndo nipo njian najiandaa kwenda eneo la tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari ya kwenda kwa marehemu Bunju imeanza
nina mashaka kama wewe ni muandishi, kazi ya mhariri ni nini?Nijuavyo mimi system ya elimu ya kenya ni kuanzi la 1-8 then form 1-4 then chuo, sasa hiyo five na six aisee waandish wenzangu mmeniaibisha, nyie ndo mnafanya waandishi wote wa udaku tuonekane hatujaenda shule mnatuaibisha kwa kweli aiseeh, mrud shule mkasome siku izi kila mtu mbea tatizo ni jinsi ya kuandika na kuwasilisha umbea kwa namna yake , ila may be ni typing error next time watajirekebisha maana mda mwingine mtu unakuwa na shauku ya kuandika habar hvyo hata unapokosea huoni
Safi mkuu na mim ndo nipo njian najiandaa kwenda eneo la tukio
nina mashaka kama wewe ni muandishi, kazi ya mhariri ni nini?
Usijal binamu mambo yapo jikon
uzuri wa jf huwa hatutumii nguvu kuonesha tofauti ya iq, wasomaji ndio huwa majaji wazuri.we nani?uulize hayo maswali?mjaaaruta wee,wazungu wanakutafta mparamia ukuta wewe!hovyooooooo,mbele huna,nyuma huna kati pameoza,usishobokee warumi!shobokoe bwana upate mimba!
uzuri wa jf huwa hatutumii nguvu kuonesha tofauti ya iq, wasomaji ndio huwa majaji wazuri.
I will never and i mean it kuwa provoked na kibwengo kama wewe.
dandia daladala usidandie mabolo.
uzuri wa jf huwa hatutumii nguvu kuonesha tofauti ya iq, wasomaji ndio huwa majaji wazuri.
I will never and i mean it kuwa provoked na kibwengo kama wewe.
dandia daladala usidandie mabolo.
hahahahaaaaaaaaaaaaaa!halloooooooow
labda ungenieleza kosa langu ni lipi kuuliza kazi ya mhariri ningekuelewa vizuri kuliko kuleta ushabiki kwa kitu kisichohitaji ushabiki.We mwenye ig kubwa,kinakuwasha nini,huna sea wewe,una hashuo za mlevi kwenda na nguo kurudi uchi kilabuni,we km mzima kuutwa kubishana na vijana,HUNA HAYA,HUJUI VIBAYA,MWANAKWENDA WEE,hiloooooo,tafuta size yako!shevuuuuuuuu
Binamu potezea bhana
Binamu potezea bhana
Binamu potezea bhana
Mkuu warumi updates
Binamu naona celebrities forum limegeuka sijui jukwaa la kufundishana paragraph na capital letter mmh, apa sisi kipaumbele umbea hayo MEngInE apeleke uko KANTANGAZE PRIMARY SCHOOL wakafundishane vizur hayo mambo

Naona madame sijui ndo kasusia msiba sijui ama vip maana hajaonekana kwenye msiba wala kupost kitu chochote kwenye wall yake kuhusiana na msiba wa adam, licha ya kuwa adam ndo kahusika sana kwenye filamu yake ya "my family" ambayo had sasa haijakamilika
Watu wananong'ona kama na yeye ndo kaamua kulipiza kisasi ama vip maana na yeye walimsusia msiba wa baba yake, yaan mambo yote yatajulikana kesho pale leaders , naona mambo yatakuwa hoot sana , ngoja tuone hyo kesho, pia mahudhurio ya mastaa wa filamu sio ya kuridhisha kihivyoo