Msanii wa Filamu "GABO" apata ajali

Msanii wa Filamu "GABO" apata ajali

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MWIGIZAJI wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo' amepata ajali mbaya ya gari maeneo ya Kiwalani jijini Dar. Kwa mujibu wa chanzo makini, Gabo aliyekuwa katika gari binafsi, aligongana na gari lingine na kupata jeraha mguuni hivyo kulazimika kulazwa kwa takriban wiki tatu kisha kuruhisiwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Mwigizaji wa Bongo Movies, Salim Ahmed ‘Gabo'

Akizungumza na paparazi wetu baada ya kutoka hospitali, Gabo aliyeitendea haki Sinema ya Majanga ya Mahsein Awadh ‘Dk Cheni', alieleza mazingira ya ajali. " Nilikuwa naendeshwa na rafiki yangu lakini ghafla tukagongana uso kwa uso na gari lingine, nashukuru magari hayakuumia sana lakini mimi nililazwa kwa wiki tatu kutokana na jeraha nililolipata mguuni, " alisema Gabo.

attachment.php
 
Mungu amfanyie wepes, kusema la ukweli kibongo bongo namkubali sn huyu kaka.

Wasije kumuwaisha tu kabla ya wakat , maana bongo movie wasione mtu ana shine, wanaanza mambo yao
 
Dah pole yake tho simjui maana sikuiz siangalii bongo movie
 
Anajitahidii kweli kuigiza huyu kakaa
 
Back
Top Bottom