Kindly google
Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!Alifanya nn mpka karma imfikie hilo ndo swali langu. I know the meaning of karma but I dont know why Mainda should be served a karma. What did she do mpka karma impate?
Ndio maisha wameyachagua.
Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!
Kila nikiliona jina lako nakumbuka Kyela, Sibonike ni jina la ukoo wa maza wangu.Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!
Inawezekana wengi ya wanawake wanaojidai wameokaka wana yao,
Lingine unalikuta Lina watoto wawili baba tofauti na wote wanawasiliana na anasuburi eti ataonyeshwa mume mwema mwingine!
Ingia makanisa ya kilokole utachoka asilimia 99% ya wadada Ni maa single mama!!!
Bora yao ulitaka wachomoe mimba.........? kuwa na mtoto haimzuii MTU kuolewa tena kama huyo mwanamke anajielewa labda kwa wasiojielewa na hao watoto wanaachiwa na nyie vidume ...acha kuwakejeli masingle moms kwani wamekubali kubeba aibu .......binafsi nawaona single moms mashujaa kwani hawa kufanya uamzi wa kutoa mimba na wamekubali makosa yao na kuamua kuwa responsible