Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Kindly google

Alifanya nn mpka karma imfikie hilo ndo swali langu. I know the meaning of karma but I dont know why Mainda should be served a karma. What did she do mpka karma impate?
 
Alifanya nn mpka karma imfikie hilo ndo swali langu. I know the meaning of karma but I dont know why Mainda should be served a karma. What did she do mpka karma impate?
Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!
 
Saiv Muda mwingi anamtumikia Mungu. Na anacheo cha Shemasi Msaidizi kutokana na muda aliokwisha kudumu tokea ampokee YESU kuwa Bwana na Mwokozi wake.
 
Mainda Anajua kuigiza..Na pia ameokoka lakini uokovu wake Nina mashaka nao..mume wa Bahati Bukuku Yule Daniel Basila ..alikuwa anatoaga filamu zake naye yumo..Ray Kigosi Yupo..Max..Na wengi..huku umeokokaa....lakini tuende mbele turudi Ray Kigosi alichomfanyia Mainda sio kizuri..Mdada Hata kama alikuwa Na vimchepuko yaani (vishemela)haikumpasa kumtosa Muda mwingi amesuuza lungu..why usimuoe Mtoto wa Watu Mpaka anaishia kuwa Fake born again(usiulizr kwa nini Coz I know her she used to be my Neighbor long time ago..She is pretending to easy her pain.She used to love Ray Kigosi so much but Ray Betrayed her to Johari and now Chuchu Hansy.
 
Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!

Mweeee ahemwa Sibhonike, lelo kakaja kanunu bho ulo. Mbilike inyaa
 
Aha, now its a different issue altogether. Sitakujibu lakini naongezea, wengine husema karma is a bitch. Usiniulize maana yake Mkuu!
Kila nikiliona jina lako nakumbuka Kyela, Sibonike ni jina la ukoo wa maza wangu.
 
Inawezekana wengi ya wanawake wanaojidai wameokaka wana yao,

Lingine unalikuta Lina watoto wawili baba tofauti na wote wanawasiliana na anasuburi eti ataonyeshwa mume mwema mwingine!

Ingia makanisa ya kilokole utachoka asilimia 99% ya wadada Ni maa single mama!!!

Bora yao ulitaka wachomoe mimba.........? kuwa na mtoto haimzuii MTU kuolewa tena kama huyo mwanamke anajielewa labda kwa wasiojielewa na hao watoto wanaachiwa na nyie vidume ...acha kuwakejeli masingle moms kwani wamekubali kubeba aibu .......binafsi nawaona single moms mashujaa kwani hawa kufanya uamzi wa kutoa mimba na wamekubali makosa yao na kuamua kuwa responsible
 
Wapo wa kuwasapoti ila si wale wanaojilengesha mimba kwa mabosi wao ili wapangiwe ki apartment,
 
Back
Top Bottom