Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Msanii wa filamu Mainda yuko wapi?

Nchoji

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
49
Reaction score
16
Wanajamii mnisamehe tu lakini sina budi kuuliza hata jukwaani yamkini nitasaidiwa. Msanii huyu aitwaye jina la usanii Mainda siku nyingi sijamuona akishiriki katika filamu yuko wapi jamani? Siyo siri mimi ni mshabiki wake napenda uigizaji wake. Nimekosa nimtafutie wapi lakini katika jukwaa naamini wapo wenye taarifa zake nisaidieni hata kama kuna uwezekano wa kupata contacts zake nitashukuru ili nafsi yangu ipate kuridhika. Sina nia ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi bali ni kutaka kujua tu wapi siku hizi shughuli zake za uingizaji anafanyia ili niwe naangalia huwa nafurahishwa sana actions zake.

Wanajamii naomba msaada wenu.
 
ni ukweli kabisa hata mm nampenda sana mainda, angejua alivyo na washabiki angejitokeza tu jamani.
 
Anaetafitwa ni mainda au yahaya? Akili kubwa imekandamizwa na akili ndogo ni tatizo
 
Kuweni serious jamani, mainda yupo wapi?
Jamani mimi namaanisha ni kweli napenda kujua yuko wapi kaacha kuigiza? Tafadhali mwenye details za uhakika atufahamishe.
 
ni ukweli kabisa hata mm nampenda sana mainda, angejua alivyo na washabiki angejitokeza tu jamani.
1.jpg
 
Yupo BBM muda wote, kama upo serious na una BBM ni PM nikupe pin yake......
 
Back
Top Bottom