Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

Saad30

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2020
Posts
2,737
Reaction score
5,464
Boshoo kama upo humu hii ni yako..

Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu.

Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu..

Clouds Media wanambeba lakini wapi..

Eti naye kamchana Dizasta Vina 😂😂😂😂 dogo kazingua....

Nendeni kaskilizeni track yake mpya EL NINO #barz ni utumbo mtupu wakuu....

Mistari ya dakika 10 za maangamizi kaitupia humo daah asee kweli boshoo ninja.
 
NO PUBLICITY IS BAD PUBLICITY.

Ushajitangaza kwa kujifanya unajipiga madongo ili ukasikilizwe.

Kabla ya huu uzi sijawahi sikia hilo jina.

Ila umetumia strategy nzuri.
 
NO PUBLICITY IS BAD PUBLICITY.

Ushajitangaza kwa kujifanya unajipiga madongo ili ukasikilizwe.

Kabla ya huu uzi sijawahi sikia hilo jina.

Ila umetumia strategy nzuri.
Mkuu acha mhemko wa kujibu basi chalii anguu

Naskilizaga hawa madogo kinoma wa kilinge (tamaduni music)
 
Sema ngoma yake karudia verse

Halafu ishu ya Dizasta ni kama mchizi kaamua tu kumjibu kwenye ile nobody is safe ambayo alisema ame inspire marapa wengi akamtaja na boshoo

Nakumbuka katikati ya ile Battle ya Dizasta na Rapcha kuna mtangazaji alipost akiweka picha ya Dizasta yenye caption kuwa "bosshoo, nacha, rapcha nk. wamekuwa inspired na Dizasta kisha akamtag na Boshoo

Boshoo ndio alikuja ku comment kuwa huyo Dizasta alikuwa hamjui before, wamekutana DSM akiwa tayari anafanya mziki na track yake waliyofanya pamoja ni ile ya "Walete" ambapo humo Dizasta kasimama kwenye chorus, hivyo sio kweli kuwa Dizasta amemu-inspire boshoo

Sasa mimi sikujua kama boshoo atakuja kumpitia Dizasta kwa ishu ile
 
Ameharibu kurudia maneno tu dogo yule..

Ila mkuu nakukubali mzee usie kuwa na dini.

Unajua unaweza kuwa unarap fresh tu na pia ulianza kitambo lakini akaja msanii mpya na ukakubali style yake ya uwandishi...

Kwahiyo naona dogo alikubali style ya Dizasta na dogo akaamua kumchana Dizasta asee kamkubwa nakubali sana uwandishi wako afu baada kama ya miezi kadhaa unaskiliza track flan kuna codes kama zako vile....lazima utajisifu na kusema kweli mchizi ni inspired na mimi.
 
Back
Top Bottom