Sema ngoma yake karudia verse
Halafu ishu ya Dizasta ni kama mchizi kaamua tu kumjibu kwenye ile nobody is safe ambayo alisema ame inspire marapa wengi akamtaja na boshoo
Nakumbuka katikati ya ile Battle ya Dizasta na Rapcha kuna mtangazaji alipost akiweka picha ya Dizasta yenye caption kuwa "bosshoo, nacha, rapcha nk. wamekuwa inspired na Dizasta kisha akamtag na Boshoo
Boshoo ndio alikuja ku comment kuwa huyo Dizasta alikuwa hamjui before, wamekutana DSM akiwa tayari anafanya mziki na track yake waliyofanya pamoja ni ile ya "Walete" ambapo humo Dizasta kasimama kwenye chorus, hivyo sio kweli kuwa Dizasta amemu-inspire boshoo
Sasa mimi sikujua kama boshoo atakuja kumpitia Dizasta kwa ishu ile