Uchaguzi 2020 Msanii wa Hip Hop Dkt. Godfrey Nyahongo 'Bonta Maarifa', achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Kahama Mjini kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Msanii wa Hip Hop Dkt. Godfrey Nyahongo 'Bonta Maarifa', achukua fomu kuomba ridhaa kugombea Ubunge Kahama Mjini kupitia CCM

Msanii wa Hip Hop kutoka Kundi la Weusi nchini Tanzania, Godfrey Nyahongo maarufu 'Bonta Maarifa', ambaye mwaka 2015 alitunga wimbo uliokosoa kabisa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu kuwa ni 'Mauongo Time', amechukua fomu kuomba ridhaa ya CCM kuwania Ubunge Jimbo la Kahama Mjini.

Bonta kitaaluma ni Daktari wa Binadamu na anafanya kazi kwenye Hospitali Kahama.

Pia soma
> Fikra pevu kutoka kwa Bonta
> Sikiliza na angalia wimbo huu wa Bonta

Si alisema anauza kura yake?
 
Back
Top Bottom