Msanii wa Hiphop maarufu kama 'Roho 7' yu wapi siku hizi?

Msanii wa Hiphop maarufu kama 'Roho 7' yu wapi siku hizi?

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
3,089
Reaction score
3,634
Habarini za mida bandugu wa JF, naomba kuuliza hivi yule msanii alitewahi kutamba na ngoma kama WAITE POLISI na NAKUPENDA HIP HOP, aliyepata kujulikana kama roho 7 siku hizi yu wapi maana nna mda mrefu simsikii kabisa. Mwenye taarifa zake atujuze humu.
 
''Nakupenda sana HipHop zaidi ya machizi wangu wa mtaa, acha wale naokesha nao baa''

Roho 7, the HipHop emcee among the best in Tz.

Hearsay ni kwamba jamaa alishakuwa mjeda.

-Kaveli-
 
daaaahh Jamaa ana flow qali ile mbaya anajua anachokifnya pia ...aiseee angetoa hata ngoma kadhaa nafasi yake bado ipo kwenye game then masikio Yetu kama yame zi miss hvi ladha zake
 
Mmmmmh kwan ww c mwanaume + mTZ km mimi kamanda ? cna ubaya wwt na wewe kaka bt anyway .... Nlikuomba unisaidie niingie JWTZ ukasema nikufuate inbox lkn kule umeweka c++ cdjui n python .. Ni programming ya kufa mtu ! Msj hazitumiki kuja kwako xo ndo nmehtaj # yako ili niwasiliane na wewe zaidi.
 
Utatapeliwa humu ndugu yangu .
huyo unayemuomba msaada mwenyewe mwanafunzi 😀 😀 😀 😀 .
yko Udom anapambna na hali yake 😀
 
Back
Top Bottom