enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Habarini za mida bandugu wa JF, naomba kuuliza hivi yule msanii alitewahi kutamba na ngoma kama WAITE POLISI na NAKUPENDA HIP HOP, aliyepata kujulikana kama roho 7 siku hizi yu wapi maana nna mda mrefu simsikii kabisa. Mwenye taarifa zake atujuze humu.