enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Hahaha leo ni siku ya Mungu..Wakuu bado mko ibadani nn make mmeususa Uzi wangu
Dah kwa hiyo alipata shavu akaacha muziki....dah maisha ni safari ndefu.Ni afsa wa jeshi cheo captain yupo morogoro
Kaka, naomba nambari yako ya simu au email n.k nahitaji kuwasiliana na wewe.Captain wa JWTZ Morogoro
Utatapeliwa humu ndugu yangu .Mmmmmh kwan ww c mwanaume + mTZ km mimi kamanda ? cna ubaya wwt na wewe kaka bt anyway .... Nlikuomba unisaidie niingie JWTZ ukasema nikufuate inbox lkn kule umeweka c++ cdjui n python .. Ni programming ya kufa mtu ! Msj hazitumiki kuja kwako xo ndo nmehtaj # yako ili niwasiliane na wewe zaidi.
Ni mwajiliwa wa JWTZ alipigwa marufuku kujihusisha na sanaa ndo aka kaa kimya.........kuna mshikaji wangu walikuwa nae kambi mojaRoho 7 ni hip hop halisi ! Namkubali sana huyu jamaa yan.Nataman aachie track nyingne kal niinjoy tym yangu dunia hii.