Msanii wa Hiphop maarufu kama 'Roho 7' yu wapi siku hizi?

Aisee,,umenikumbusha Farida a.k.a ReeKay,,sikuwa najua km alizaa na Roho Saba thanks kwa info,,,
Q alikuwa na usela mavi mwingi sana na ulevi.
Halafu kwa trend ya mziki ulipokuwa unaelekea Q was so good na hip hop beats tu nyimbo za kuimba hakuwa mzuri sana hivyo kumantain ilibidi prod awe mzuri kote kote maana hapa kati waimbaji ndiyo kama walitawala redion kwa sana.
 
Aisee,,umenikumbusha Farida a.k.a ReeKay,,sikuwa najua km alizaa na Roho Saba thanks kwa info,,,
Q alikuwa na usela mavi mwingi sana na ulevi.
Halafu kwa trend ya mziki ulipokuwa unaelekea Q was so good na hip hop beats tu nyimbo za kuimba hakuwa mzuri sana hivyo kumantain ilibidi prod awe mzuri kote kote maana hapa kati waimbaji ndiyo kama walitawala redion kwa sana.
 
JWTZ haihitaji wanaume wenye uandishi wa XO.

Balehe kwanza then utakuja JWTZ
 
Alilewa sifa alipatia sana beats za Hiphop,,,G Solo naye yupo wapi? jamaa wa kama kawa recods
 
Alilewa sifa alipatia sana beats za Hiphop,,,G Solo naye yupo wapi? jamaa wa kama kawa recods
Kama kawa baada ya marko chali kuhamia mj akaja nahreal akiwa na miaka 14, akatengeneza niaje ni vipi pale kama kawa na ngoma nyingine kwasababu ya kusoma akawa kaondoka so kuna kipindi q alikuja dar g solo wakiwa kwenye pombe na q akamsainisha mkataba wa kufanya kaz kama kawa ndipo ilitoka ngoma ya jay mo ya stori tatu prod q toka kama kawa, later q akarud mwanza gsolo akamfuata na polisi kwa kukiuka mkataba.
Kam
 
JWTZ haihitaji wanaume wenye uandishi wa XO.

Balehe kwanza then utakuja JWTZ
Ntakutafuta ili unione siku Nikivaa bakabaka kama wewe HATA KAMA HUTAKI ili MUNGU AKUJALIE UACHE HAYO MAMBO.Kwa nini uwe na roho ya hivyo ndugu yangu ? Unashindwa kumsaidia mtu kufikia ulipo, PITA MBALI ! SIYO LAZIMA UKOMENTI MAPUUZA Kwani wewe ni malaika kiasi kwamba uko mkamilifu kwa 100% ? Acha mbwembwe Ndg.Wewe ni binadamu tuu kwa hiyo thamini kila mtu usione kwa kuwa ww xaiv n mjeda ukaona sasa WEWE NDO WEWE DUNIA NZIMA ! HAPANA MAISHA HAYAKO HIVYO.Yote ni ya Mungu, leo mtu anaweza kuwa hapa kesho akawa kule hakuna jipya hapa duniani.
 
Peleka UKUDA huko,uandike mwenyewe XO mara C badala ya SI halafu umsingizie Mungu.

JWTZ hawataki watoto wadogo,kua mtu mzima kwanza then ndo utafute nafasi huko JWTZ.

Kuna msela pale juu ali comment kidogo tu ushaanza kumshobokea ooh mimi nataka nafasi jeshini sijui nini,nani alikwambia JWTZ inataka watu wasiojua kufanya hata DUE DILIGENCE kidogo kujua huyo mtu unaye mshobokea ni nani.

Acha shobo na JWTZ dogo.
 
Halafu XAIV ni nini?
 
wewe n m.ku.da sana.ENDELEA NA ROHO YAKO MBAYA HIVYO HIVYO LAKINI HUWEZI NIZUIA MIMI KUFANYA KILE AMBACHO ALIYENILETA DUNIANI ALISHANIPANGIA MPUUZ KWEL KWEL WEW
 
Utatapeliwa humu ndugu yangu .
huyo unayemuomba msaada mwenyewe mwanafunzi 😀 😀 😀 😀 .
yko Udom anapambna na hali yake 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
TENA ACHANA NA MM FA.R.A WEW ! NILIYEMKOMENTIA NDO ANIJIBU SIYO UNAKOMENTI KWA KUNIQUOTE HALAFU UNAANDIKA UJINGA MTUPU.ACHANA NA MIMI FANYA YAKO SITAKI KUJIBIZANA NA WEWE TENA.
 
Hii ishu naikumbuka vzr,,, na hapo ndo chanzo cha q kupotea
 
Hii ishu naikumbuka vzr,,, na hapo ndo chanzo cha q kupotea
Yah studio ni producer aisee hata iwe na vifaa vya ubora kiasi gani bila producer mwenye touch nzuri hakuna kitu.
Halafu na wasanii wana tabia akiibuka prod mpya wanahamia kule yan kama upepo flani hivi si unakumbuka enzi za lamar na fish crub, wapi pancho latino wa bhits, wapi sei records.
Halafu nimekumbuka hivi estam yuko wapi yule aliimba ngoma inaitwa hii story akimshirikisha makamua na ngoma nyingine inaitwa wanifaa akimshirikisha qjay
 
wewe n m.ku.da sana.ENDELEA NA ROHO YAKO MBAYA HIVYO HIVYO LAKINI HUWEZI NIZUIA MIMI KUFANYA KILE AMBACHO ALIYENILETA DUNIANI ALISHANIPANGIA MPUUZ KWEL KWEL WEW
Boss,

Wajomba wanakufundisha kuandika maandishi sahihi. Wewe unang'ang'ania kulia lia.

Jifunze ndugu, pengine ndio usahili unaanzia huku na hapo unapimwa.

Kujifunza ni kila siku na sio "xiku"
 
Kweli kabsa fish crab ilikuja vzr,, sema tatzo beats za huyu jamaa zlkuwa znafanana sana so watu walmzoea sana tena kwa kpnd kfupi
Estam sikumbuk yuko wapi,, unamkumbuka K soul km sijakosea hlo jina alitoa ngoma na ferooz inaitwa mwanamkiwa?

Na kuna jamaa mwingine jina silikumbuk,, alihit na ngoma moja hv iliyoitwa Posta, kpnd kile wateule wanatamba na Watu Kibao
 
yah ngoma zake zilianza kufanana yaani beats za Lamar zilikuwa an ladha moja.
Ksoul ile ngoma ilikuwa tamu sana ningeweza ilikuwa kali sana sikuwahi kusikia ngoma nyingine toka kwake...
Posta Posta city centre Posta Posta leo hii ukiuliza kila mtu anakwenda posta nimeikumbuka hiyo ngoma hata aliyeimba simkumbuki jina umenikumbusha kitambo sana.
Watu kibao akina jay mo Jaffarai na Mchiz Mox kitambo sana pale kwa majani..
Kulikuwa na kichwa kama Barozi huyu nahisi mpaka leo yuko USA, kulikuwa na yule jamaa mkenya Bamboo pale kwa majani, kuna lile kundi la University Corner, enzi hizo kwa fujo Djs wanatisha town akina Aboubakar Sadick na Majizzo
 
Yule jamaa aliyeimba posta km sikosei aliitwa Soneli,, jamaa flan alkuwa na afro hv skuwah kuskia ngoma nyingine tena toka kwake,,, game ya kipindi kile ilikuwa na ladha sana,,,Bamboo naskia aliokoka na anaish USA kwa mujbu wa dada yake Victoria Kimani,,, Bamboo kuna ngoma moja alfanya na Jay Moe pamoja na Ngwear inaitwa dhambi zangu ktu km hcho
 
Acha Uongo ww, najua nataman life la mabaka baka sema umekosa opportunity ya kwenda huko pambana na hali yako wacha watu watimize wajibu wao
Unajua nina kazi gani mpaka nitamani kuwa mwanajeshi? We kama unatamani tamani mwenyewe na fanya linalowezekana uende si kubwabwaja hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…