mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Q alikuwa na usela mavi mwingi sana na ulevi.Aisee,,umenikumbusha Farida a.k.a ReeKay,,sikuwa najua km alizaa na Roho Saba thanks kwa info,,,
Halafu kwa trend ya mziki ulipokuwa unaelekea Q was so good na hip hop beats tu nyimbo za kuimba hakuwa mzuri sana hivyo kumantain ilibidi prod awe mzuri kote kote maana hapa kati waimbaji ndiyo kama walitawala redion kwa sana.