Mkuu jamaa haelewi ataishi kukupa matusi tu.Boss,
Wajomba wanakufundisha kuandika maandishi sahihi. Wewe unang'ang'ania kulia lia.
Jifunze ndugu, pengine ndio usahili unaanzia huku na hapo unapimwa.
Kujifunza ni kila siku na sio "xiku"
kuta5mani life la kukesha lindo, kupiga saluti na kukaa kambini dah ,,,no kutoka nje ya nchi kula bata mpaka ruhusa maisha gani sasa hayoAcha Uongo ww, najua nataman life la mabaka baka sema umekosa opportunity ya kwenda huko pambana na hali yako wacha watu watimize wajibu wao
Utatapeliwa kwa style hiyoMmmmmh kwan ww c mwanaume + mTZ km mimi kamanda ? cna ubaya wwt na wewe kaka bt anyway .... Nlikuomba unisaidie niingie JWTZ ukasema nikufuate inbox lkn kule umeweka c++ cdjui n python .. Ni programming ya kufa mtu ! Msj hazitumiki kuja kwako xo ndo nmehtaj # yako ili niwasiliane na wewe zaidi.
kaombe na wewe nafasi kama una sifaWATU WANA NGEKEWA KWELI, NATAMANI HILO ZARI LINGENIDONDOKEA NIKAENDA ZANGU JWTZ, BAS T
Siku hizi kuwa mwanajeshi Wa JWTZ imebakia kuwa ngekewa sana kama hauna aliyekushika mkono.Kuna watu wengi wenye VIGEZO VYOTE, WAMEACHWA kuchaguliwa kwenda JWTZ hata km wameshahitimu JKT.Ni shida sana Ndg yangu.Ukiomba nafasi unaambiwa upitie JKT ambapo kupitia huko ni kama kuchezea shilingi kwenye tundu la choo (kupoteza mda bure).Acha tuu, hii nchi ya ajabu sanakaombe na wewe nafasi kama una sifa
Mkuu, kaniboa mng'ato bwana ila hata km yy ni askari au hayuko hivyo, nimeshamuomba msamaha bwana make sipendi kukosa amani kisa mtu kaniletea mbwembwe.Riziki ya mtu anayo Mungu tuu, lolote linaweza kutokea na lisipotokea, basi ni vyema tuu haina shida nadhani itakuwa iko hivyo tuu.Boss,
Wajomba wanakufundisha kuandika maandishi sahihi. Wewe unang'ang'ania kulia lia.
Jifunze ndugu, pengine ndio usahili unaanzia huku na hapo unapimwa.
Kujifunza ni kila siku na sio "xiku"
Mkuu, kaniboa mng'ato bwana ila hata km yy ni askari au hayuko hivyo, nimeshamuomba msamaha bwana make sipendi kukosa amani kisa mtu kaniletea mbwembwe.Riziki ya mtu anayo Mungu tuu, lolote linaweza kutokea na lisipotokea, basi ni vyema tuu haina shida nadhani itakuwa iko hivyo tuu.Boss,
Wajomba wanakufundisha kuandika maandishi sahihi. Wewe unang'ang'ania kulia lia.
Jifunze ndugu, pengine ndio usahili unaanzia huku na hapo unapimwa.
Kujifunza ni kila siku na sio "xiku"
Hongera wa michano,,, yupo wapiRoho 7 na Hongera walikuwa wanafanya hip hop ya kweli
Huyu jamaaa sijui alipotea wapi ila mwaka jana au juzi nilimckia radio one alikuwa anatambulisha wimbo wke mpyaHongera wa michano,,, yupo wapi
ReeK FaridaRoho saba ni mjeda sasa hivi anacheo kizuri tu jeshini katulia kabisa na mke wake yule walikua wanaimba pamoja na kusoma pamoja.